Rais Samia azindua mradi wa maji Butimba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipozindua Mradi wa Maji Butimba Mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi katika Mkoa huo leo Juni 20, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *