Rais Samia azindua sekondari ya wasichana mchepuo Sayansi, Sanaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6 leo September 27,2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *