Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amesema hawakutarajia kipigo walichopata dhidi ya Niger kwenye kufuzu Kombe la Dunia 2026.
Amewataka wachezaji wenzake kusahau yaliyopita na kuangalia makosa waliyofanya ili kujipanga kwa michezo ijayo.

Maarifa Online Media ni chombo huru cha habari mtandaoni kinachotoa taarifa sahihi na za kuaminika kuhusu siasa, uchumi, jamii, michezo, elimu, afya na teknolojia. Tumejikita kwenye uwazi, weledi na uwajibikaji ili kuwafikishia wananchi habari bora na zenye mvuto kupitia tovuti na mitandao ya kijamii.
© 2025. Maarifa Online Media. All RIghts Reserved.