Samia achukua fomu ya kugombea urais

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika matukio tofuti tofauti wakati akikabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele. Wengine ni Mgombea mwenza, Dkt. John Nchimbi na Mkurugenzi wa Tume hiyo, Kailima Ramadhani.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *