Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na kuomba kura kwa umati wa Wananchi wa Iramba mkoani Singida wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Uwanja wa Lulumba CCM Kiomboi leo September 10, 2025.
















