Shamsi Vuai Nahodha asema Rais Samia ni kinara wa mageuzi Afrika

“Ninampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ndoto zake za kuwakutanisha viongozi wenzake wapatao 21 kutokana maeneo mbalimbali ya bara la Afrika, ili kuzungumzia mustakabali wa nishati hasa katika maeneo ya vijijini kusini mwa Jangwa la Sahara.

Nchi yetu kwa miaka mingi sana imekuwa ikitegemewa kutoa muongozo wa masuala ya kisiasa, maendeleo na uchumi katika bara la Afrika na sasa nashukuru kwamba Rais Samia Suluhu Hassan anauendeleza utaratibu huo, “Shamsi Vuai Nahodha Mbunge wa Kuteuliwa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *