Sunday, April 5, 2026
spot_img
HomeMichezoTAKUKURU,TFF wajadili mbinu kudhibiti rushwa sekta ya michezo

TAKUKURU,TFF wajadili mbinu kudhibiti rushwa sekta ya michezo

Wadau wa Mchezo wa Mpira wa Miguu wamefanya kikao kazi kujadili Matokeo ya  Uchambuzi wa Mfumo wa Mapato na Matumizi ya Vilabu vya Mpira wa Miguu Nchini.

‎Kikao hiki kilichofanyika Aprili 1, 2026, kiliwakutanisha Wadau wa Michezo wakiwemo WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO, TFF,  BMT,  TRA, NSSF, TTCL pamoja na Klabu za Mpira wa Miguu za Simba, Yanga na Azam.

‎Katika picha ni wadau hao
‎wakiirejea kwa vitendo,  kaulimbiu ya TAKUKURU inayosema: ‘ Kuzuia Rushwa ni Jukumu Lako na Langu; Tutimize Wajibu Wetu’.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments