Tuesday, December 16, 2025
spot_img
HomeHabariTanzania na Sweden Zaimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi

Tanzania na Sweden Zaimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi (wa pili kulia), akisalimiana na Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden katika Kasri la Mfalme jijini Stockholm, hivi karibuni. Kushoto ni Binti Mrithi wa Ufalme, Victoria; katikati ni Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sweden, Balozi Maria Christina Lundqvist; na kulia ni Mke wa Balozi, Yvonne Matinyi.

Katika mazungumzo yao mafupi, Mfalme Gustaf na Balozi Matinyi walijadili uimarishaji wa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Sweden, hususan katika nyanja za biashara, uwekezaji na utalii.

Picha: Hisani ya Kasri la Mfalme.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments