Ulega: Wakandarasi fanyeni kazi usiku na mchana

“Ukipita usiku Dar es Salaam humu ambapo wao wamepewa kazi ya kujenga utakuta kiza kinene watu wamepumzika, wakati nafasi ya kufanya ujenzi ipo, wafanye waweke magari yenye taa kali vibarua wawe pale wawe a shifti mbili wafaye kazi”, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *