Wagombea urais, Dk. Samia Suluhu Hassan na mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiomba dua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar leo Septemba 19, 2025.







