Wanafunzi: Tunataka CHADEMA tushiriki uchaguzi mkuu

“Peoples, sisi kama wanafunzi, wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati, tulitegemea tukiitwa kwenye mkutano. Mkutano wa chama chetu tupewe strategies, tupewe mikakati, tupewe mbinu jinsi gani tutachukua serikali, tutachukua dola.

Toka nimefika kwenye chuo changu tutengeneze hata mbinu ya kuwa mwanachama hai hakuna kitu kama hicho. Lakini kule wenzetu chama tawala tunaogana mara kibao wanatengeneza njia ya kuwa mwanachama hai.

Lakini sisi huku kwetu wanachama kivuli kibao. Tukiwa kwenye mikutano tunakuwa wengi. Msimamo wetu sisi kama wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu ni kusimama na kujenga hoja ili twende tukafanye uchaguzi,”Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *