Monday, December 8, 2025
spot_img
HomeHabariDk. Samia: Nataka nimalize urais kwa kuacha tabasamu kwa Watanzania

Dk. Samia: Nataka nimalize urais kwa kuacha tabasamu kwa Watanzania

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema angependa Serikali ya awamu ya sita itakapomaliza muda wake iache tabasamu kwa Watanzania na si vitu vilivyofanyika pekee.

Dk Samia ametoa kauli hiyo, leo Ijumaa Novemba 14,2025 wakati akihutubia Bunge jijini Dodoma, ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Bunge la 13, ambapo pamoja na mambo mengine alitoa mwelekeo wa Serikali yake kwa miaka mitano ijayo.

“Naomba Mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita, usipime kwa vitu vitakavyoachwa bali tupime kwa tabasamu nitakaloliacha kwenye nyuso za Watanzania,”

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments