Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, kupitia Chama Cha ACT- Wazalendo, Ado Shaibu, amesema Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, moja ya sababu kubwa iliyomsukuma Rais Samia Suluhu Hassan kumteua kushika nafasi hiyo ni uchapakazi.
Amesema wanamuunga mkono kama ishara ya kumkopesha imani kuwa atachapa kazi katika kipindi cha utawala wake.




