Sunday, December 7, 2025
spot_img
HomeHabariBaa Mwanza kufungwa saa nne usiku, zuio la saa 12 laondolewa

Baa Mwanza kufungwa saa nne usiku, zuio la saa 12 laondolewa

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda ametangaza rasmi kuondoa zuio la wananchi kuendelea na shughuli zao baada ya saa kumi na mbili jioni.

Kadhalika amesema licha ya zuio hilo kuondolewa baa zitatakiwa kufunga ifikapo saa nne usiku.

Amesema hayo leo na kubainisha kuwa sasa ni ruksa kwa wananchi kutembea na kufanya shughuli mbalimbali mpaka usiku.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments