Monday, December 8, 2025
spot_img
HomeMichezoBodi ya Ligi Zanzibar yakosa Mwenyekiti

Bodi ya Ligi Zanzibar yakosa Mwenyekiti

Uchaguzi mdogo wa kumpata Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar ulishindwa kufanyika baada ya mvutano ndani ya Kamati ya Uchaguzi.

Kura zilipigwa mara mbili bila mshindi kupatikana, na ulipokuwa umepangwa kuendelea usiku, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Mussa Hamad Tajo, aliahirisha akitaja sababu za kikanuni na ukosefu wa akidi.

Hatua hiyo imezua malalamiko kutoka kwa baadhi ya wajumbe na wagombea, huku ZFF ikiahidi kulipatia suluhu ili kupata mwenyekiti mpya.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments