Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Wabunge wanatarajiwa kupigia kura jina la Mwigulu Nchemba ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi kuwa Waziri mkuu leo Novemba 13,2025.

Maarifa Online Media ni chombo huru cha habari mtandaoni kinachotoa taarifa sahihi na za kuaminika kuhusu siasa, uchumi, jamii, michezo, elimu, afya na teknolojia. Tumejikita kwenye uwazi, weledi na uwajibikaji ili kuwafikishia wananchi habari bora na zenye mvuto kupitia tovuti na mitandao ya kijamii.
© 2025. Maarifa Online Media. All RIghts Reserved.