Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeHabariDk. Migiro afungua Jukwaa la Wanawake 2025

Dk. Migiro afungua Jukwaa la Wanawake 2025

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi, Dk. Asha-Rose Migiro amefungua Jukwaa la Wanawake 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), lenye kauli mbiu ‘Mama ni Amani’, leo Alhamisi, Desemba 04, 2025, jijini Dodoma.

Jukwaa hilo lililowakutanisha wanawake walioko kwenye makundi ya kijamii kutoka maeneo mbalimbali nchi nzima, pia lilihudhuriwa na viongozi wa dini pamoja na wageni wengine waalikwa, lengo likiwa ni kuzungumzia mchango wa wanawake katika kudumisha tunu zinazojenga misingi ya taifa na kuimarisha nchi yetu.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments