Dk. Samia: Tumeongeza Madaktari waliosajiliwa kutoka 69 hadi 330

“Niruhusu niongeze sauti yangu juu ya kile ambacho kimefanywa na tufanye nini ili kuweka ajenda ya afya juu ya sera yetu ya Taifa. Tumeongeza idadi ya madaktari waliosajiliwa wa uzazi kutoka 69 mwaka 2020 hadi 330 mwaka 2024. Pia tumekuwa tukitoa huduma za afya za uzazi bila malipo na watoto chini ya miaka mitano,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *