Dk. Samia- Tutapeleka CV ya Prof. Janabi WHO

“Dkt Janabi yupo hapa, upo? Haya. Dkt. Janabi kwanza hongera kwa kuvunja rekodi jana kwenye mitandao. Naambiwa rekodi iliyokuwa ikitamba ni rekodi yangu nilipompa kiti changu cha urais yule msichana. Siku nafungua sijui kitu gani cha Azam Tv. Lakini jana Janabi kavunja rekodi kanipita kwa mitandao ilivyobast. Kwa hiyo hongera sana. Nimekuteua kuwa mshauri wa Rais Mambo ya Afya. Lakini bado nataka utupe jicho Muhimbili. Lakini jingine natoa siri hapa hapa, tumeangalia CV nyingi, nilikuwa na CV kama tano za wenzio tukaona yako tunaweza kuipeleka kwenye competition ile ya WHO,”Rais Samia

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *