Thursday, December 18, 2025
spot_img
HomeHabariHivi ndivyo Dk Nchimbi alivyopokewa kwa kishindo Longido

Hivi ndivyo Dk Nchimbi alivyopokewa kwa kishindo Longido

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amepokewa kwa kishindo alipowasili kwenye uwanja wa Polisi,Longido kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Ijumaa Septemba 12,2025.

Mara baada ya kuwasili ,Balozi Nchimbi alikaribishwa kwa kuvalishwa vazi la heshima kutoka kwa viongozi wakuu wa kimila wa Kabila la Kimasai (Malaigwanani).

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments