Friday, March 20, 2026
spot_img
HomeHabariKilombero Sugar yakabidhi sukari kwa waathirika wa mafuriko Kilosa

Kilombero Sugar yakabidhi sukari kwa waathirika wa mafuriko Kilosa

Kilombero Sugar imekabidhi tani 5 za “Bwana Sukari” kusaidia Wilaya ya Kilosa kufuatia mafuriko yaliyoacha kaya zaidi ya 400 bila makazi.

Kupitia Mpango wetu wa Msaada wa Dharura, tumekabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mh. Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya familia zilizoathirika.

Tunasalia na dhamira ya dhati ya kuunga mkono na kushirikiana na jamii tunazozihudumia ili kuhakikisha usalama, ustahimilivu na matumaini.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments