Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeMichezoKocha Chipo achukua kijiti Mtibwa Sugar

Kocha Chipo achukua kijiti Mtibwa Sugar

Klabu ya Mtibwa Sugar imemtangaza Mkenya Yusuf Chipo kuwa Kocha Mkuu mpya akichukua nafasi ya Awadh Juma, ambaye sasa atakuwa msaidizi.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari, Thobias Kifaru, Chipo ataiongoza timu kwenye mechi yake ya kwanza Novemba 25 dhidi ya KMC.

Chipo amesema amejiunga na Mtibwa kwa sababu falsafa ya timu hiyo inayokuza vijana inalingana na yake. Ameomba mashabiki kuipa timu sapoti ili ihakikishe inabaki Ligi Kuu.

Anakuta Mtibwa ikiwa nafasi ya 12, pointi tano baada ya mechi tano.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments