Winga wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Uhispania Lamine Yamal ametwaa tuzo ya ‘Kopa Trophy’ mchezaji bora chipukizi duniani kwa Mwaka 2025 katika tuzo za Ballon D’or zinazotolewa usiku wa leo, Septemba 22, 2025 jijini Paris, Ufaransa.
Yamal ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya pili mfululizo baada ya kutwaa ‘Kopa Trophy’ ya mwaka 2024 na kuwa mchezaji wa kwanza kutwaa tuzo hiyo mara mbili.
WASHINDI WA KOPA TROPHY
🎖️ 2025 – Yamal 🇪🇸
🎖️ 2024 – Yamal 🇪🇸
🎖️ 2023 – Bellingham 🏴
🎖️ 2022 – Gavi 🇪🇸
🎖️ 2021 – Pedri 🇪🇸
🎖️ 2019 – De Ligt 🇳🇱
🎖️ 2018 – Mbappé 🇫🇷