Maelfu ya wananchi Namtumbo wajitokeza kumlaki Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Ziara yake Mkoani Ruvuma leo September 26, 2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *