Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoMlandege yashusha nyota sita kimataifa

Mlandege yashusha nyota sita kimataifa

Mlandege FC imesajili wachezaji sita wa kimataifa kutoka Nigeria, Ghana, Comoro na Ufaransa kwa ajili ya mashindano ya CAF na Cecafa.

Mmiliki wa timu hiyo, Abdulsatar Daud, alisema usajili huo ni mkakati wa kuhakikisha wanapiga hatua kubwa kimataifa, wakianza na Cecafa inayofanyika Dar es Salaam.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments