Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalumu ya kuthamini na kutambua kazi kubwa anayoifanya kwa Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) uliofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma leo Machi 11, 2025.





