Rais Samia akagua mabanda ya kilimo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *