Rais Samia atembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania

Matukio mbalimbali kwenye wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania Limited lililopo Mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *