Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeHabariRais Samia awasili Arusha kwa ziara ya siku mbili

Rais Samia awasili Arusha kwa ziara ya siku mbili

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 21, 2025 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo kesho November 22, 2025 anatarajiwa kuwatunuku Kamisheni Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye Chuo cha Kijeshi Monduli.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments