Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kiwanda cha chokaa na Saruji Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti alipoweka Jiwe la Msingi kwenye ufunguzi wa Kiwanda Cha Chokaa na Saruji (Maweni Limestone) wakati wa Ziara yake Mkoani Tanga leo February 27, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *