Rais Samia azindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *