Tuesday, February 24, 2026
spot_img
HomeHabariRais Samia azindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Rais Samia azindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Februari 24, 2026 amezindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Kikombo kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments