Rais Samia azindua Shule ya Chief Zulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofautitofauti alipoweka Jiwe la Msingi kwenye Uzinduzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu Mkoani Ruvuma ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Milioni 600.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *