
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan Katika matukio tofauti tofauti alipozindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu la Tunduru Mkoani Ruvuma ambalo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 1.4 ikiwa ni ubia baina ya Serikali na Sekta Binafsi leo September 26,2024.











