Rais Samia na Viongozi wa Afrika Kwenye Mkutano wa 38 wa AU

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia Leo Februari 15, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *