Rais Samia na wananchi wa Kata Litola, Rwinga na Mchomoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na maelfu ya wananchi waliofurika Barabara kwenye vituo mbalimbali ikiwemo kata ya Litola, Rwinga, Mchomoro na tarafa ya Matemanga kumlaki alipotembelea Wilaya za Namtumbo na Tunduru wakati wa ziara ya kikazi mkoani Ruvuma leo September 26,2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *