Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba Kura kwa umati wa Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 05, 2025.













