Monday, December 15, 2025
spot_img
HomeHabariSamia atembelea kaburi la Benjamin Mkapa

Samia atembelea kaburi la Benjamin Mkapa

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozuru Kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa katika Kata ya Lupaso, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara akiwa kwenye Ziara ya Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Septemba 24, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments