Samia na wananchi wa Mbalizi

0
37

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu na Wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya leo September 04, 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here