Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeMichezoSimu ya Dk. Samia ilivyoibua shangwe Siku ya Wananchi

Simu ya Dk. Samia ilivyoibua shangwe Siku ya Wananchi

Hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kupiga simu moja kwa moja wakati wa Tamasha la Siku ya Yanga, imeibua shangwe kutoka kwa washabiki na wafuasi wa timu hiyo waliokuwepo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Dkt Samia amepiga simu hiyo leo, Ijumaa Septemba 12, 2025 alipokuwa anafuatilia tamasha hilo, lililokuwa linarushwa mubashara, akiwa mkoani Kigoma katika ziara ya kampeni za urais.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments