Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoSofapaka yapeleka bosi mpya Kagera Sugar

Sofapaka yapeleka bosi mpya Kagera Sugar

Kagera Sugar imemtangaza Ronald Okoth, raia wa Kenya, kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa klabu hiyo iliyo kwenye Ligi ya Championship.

Okoth, mwenye uzoefu wa kusimamia klabu kadhaa za Kenya ikiwemo Sofapaka, Gor Mahia na KCB, anajulikana kwa kukuza vipaji na kuimarisha mifumo ya klabu.

Kagera pia imetangaza benchi jipya la ufundi chini ya Kocha Mkuu Juma Kaseja, huku Vicent Mwampamba na Saiduna Said wakipewa nafasi ya utunzaji vifaa, Buberwa Bilikesi kuwa kiongozi wa usalama na uwakilishi, na Idd Rocky Simba kuwa kocha wa utimamu wa mwili.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments