
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ameendelea na ziara ya kijiji kwa kijiji katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kujiandaa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo jana tarehe 6 Septemba 2024 alifanya mikutano ya hadhara kwenye vijiji vya Majala, Fundimbanga, Mbungulaji na Kalulu/Rahaleo.


