“Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimekuja Muheza kufanya kazi maalumu ambayo mmeishuhudia hapa, nayo ni kuzindua mradi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mmeshuhudia nimegawa mitungi kwa Muheza lakini pia kwa Wilaya nyingine ndani ya Mkoa wa Tanga,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.




