Thursday, February 12, 2026
spot_img
HomeMichezoMajaliwa ashiriki mbio za hisani za Maendeleo Benki

Majaliwa ashiriki mbio za hisani za Maendeleo Benki

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024 zilizoanzia na kuishia katika viwanja vya Greenpark garden Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Lengo la mbio hizo ni kukusanya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kusaidia watoto wenye changamoto mbalimbali hapa nchini.

Kauli mbiu ya mbio hizo ni “Hatua ya Faraja- Msimu wa Pili”.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments