Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege Songea Mkoani Ruvuma tayari kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu mkoani humo leo Septemba 21, 2025.













