Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu la kuwatunuku Kamisheni Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Chuo cha Kijeshi Monduli Mkoani Arusha leo Novemba 22, 2025.












