Rais Samia akiwa na marais mbalimbali wa nchi za Afrika

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na marais wa nchi za Afrika waliohudhuria mkutano wa nishati unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *