Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu Abiy Ahmed Kando ya Mkutano wa AU

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed kando ya Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *