Dar es Salaam, Tanzania – Januari 28, 2025:
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika – Misheni 300. Tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo.


