Monday, December 8, 2025
spot_img
HomeHabariWaziri Aweso mtaa kwa mtaa Dar, uboreshajihuduma za maji

Waziri Aweso mtaa kwa mtaa Dar, uboreshajihuduma za maji

Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameanza ziara mkoani Dar es salaam kwa kufanya kikao na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ili kuweka mikakati madhubuti ya uboreshaji huduma za Maji na kutoa huduma bora.

Waziri Aweso anatarajia kukagua miradi ya maji na kuzungumza na wakazi wa Dar es Salaam katika Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es salaam.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments